Details

     
Saikolojia

Saikolojia

Size 6.1MB

Download
Saikolojia

Saikolojia

6.1MB 100,000+ 3 (10)
" Education "
Price: $Free

Description

Karibu saikolojia, ujifunze maana ya saikolojia, aina za saikolojia, saikolojia na maisha, saikolojia ya mapenzi, jinsi ya kutambua tabia ya mtu, saikolojia na kuongeza nguvu za kuume, maneno ya kumsifia mwanamke, saikolojia na mazoezi ya kupunguza uzito / unene, saikolojia na changamoto za kupata mtoto wa jinsia unayoitaka, jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza, saikolojia na kufanya mapenzi, umuhimu wa tendo la ndoa usiku, ukuaji wa mtoto, athari za ngono kinyume na maumbile. familia na maisha ya jamii, saikolojia chanya, mafanikio na kujidhibiti.
Saikolojia ni nini?
Saikilojia ni neno linalotokana na neno la kingereza (psychology) ambalo asili yake ni neno la kiyunani (psyche) lenye maana ya nafsi au roho.
Kwa ujumla wake saikolojia ni sayansi inayohusu nafsi au roho na namna nafsi hii (roho) inavyo fanya kazi.
Vile vile saikolojia inahusu elimu ya ufahamu wa tabia za wanyama hasa binadamu.
Kwa elimu hii ya saikolojia unaweza kufahamu vyanzo vya tabia flani kwa binadamu, pia inampa binadamu uwezo wa kujielewa madhaifu yake na mazuri yake na namna bora ya kuyaepuka (madhaifu) au kuishi nayo bila kuleta madhara na namna bora ya kuyaendeleza mazuri aliyonayo.
Wataalamu wa saikolojia siku zote hupenda kufahamu kwa upana tabia za binadamu kupitia tafiti ikiwa ni pamoja na kufahamu mahitaji yake, motisha, hamasa zake, hisia zake (mwenendo wa fikra zake na mihemuko yake).
Hii huwafanya wataalamu wa saikolojia kubuni njia na kutuo ushauri ambao humfanya (humuwezesha) binadamu kuishi maisha ya furaha na amani.
Saikolojia ni somo ambali haliepukiki katika maisha ya binadamu. Nikweli na ni wazi kuwa kila binadamu ni wapekee. Upekee huu unasababiswa na mambo makubwa mawili ambayo ni ASILI (Nature) na MAZINGIRA (nurture).
Kutokana na mambo haya mawili, binadamu hujikuta tukitofautiana kuanzia maumbile yetu hadi tabia zetu. (hata wale ambao wanachangia baba mmoja na mama mmoja).
Upekee huu pia umetufanya kuwa na utofauti wa hisia (mihemko).
Kwa kuzingatia ukweli kuwa binadamu tunategemeana ili kuendelea kuishi kwa amani na furaha na kwa mafanikio, ni wazi kwamba kutegemeana huku kunatokana na utofauti tulio nao.
Jaribu kufikiri, kama binadamu wote tungekuwa na tabia moja, maumbile yanayo fanana, nguvu zinazolingana, vipaji vinavyo fanana, hisia zinazo fanana nk. Ni nani angemtegemea mwenzake? Na kungewa na umuhimu gani wa kuwa na marafiki? Au dunia ingekuwaje?
Hivyo basi ni kwa uelewa wa elimu ya saikolojia inayotuwezesha na kutusaidia kuanzisha mahusiano na kuyalinda ili tuendelee kusaidiana na kushirikiana kupitia mbalimbali za kimaisha.
Pia upatikanaji wa elimu hii ya saikolojia sio kitu kigumu kama watu wengi wanavyo dhani.
Kuipata elimu hii sio lazima uhudhurie mafunzo maalumu katika chuo husika kwa sababu maisha yetu kwa asilimia kubwa yametawaliwa na elimu hii ya saikolojia.
Watu wengi wamekuwa wkitumia nadharia za kisaikolojia katika maisha yao ya kila siku pasipo kufahamu.
Kwa mfano: ni mara nyingi mno watu katika maisha yao ya kawaida kuanzisha mahusiano kwa malengo tofauti. Na baadhi yao wamekuwa wakifanikiwa kuanzisha mahusiano hayo huku wengine wengi wakishindwa kanzisha au hata kuyatunza.
Umuhimu wa elimu ya saikolojia
Hii ni moja ya Nyanja ya saikolojia (social psychology) ambayo inashauriwa kila mmoja kuwa nayo kwa kiasi flani.
Kupitia elimu ya saikilojia utaweza kujua namna bora ya kuishi na mwenzako wa ndoa au mchumba wako na hata rafiki yako(mpenzi).
Pia kwa wale ambao wamejaaliwa kupata watoto watafahamu namna bora ya kuwalea watoto wao na huduma za msingi ambazo mtoto anastahili katika umri husika.
Kwa wale wenye migogoro katika mahusiano yao au ndoa zao, elimu hii itawapa majibu ya uhakika.
Pia elimu hii inawahusu viongozi wa ngazi zote kuanzia ngazi ya familia nakuendelea… kwani kwa kupata elimu hii itakuwezesha kuwaelewa watu anao waongoza na hivyo kufanya kazi ya uongozi kuwa rahisi.
Kwa kuhitimisha Elimu hii ya saikolojia ina malengo mengi na kazi nyingi katika maisha ya binadamu.
Welcome psychology, learn the meaning of psychology, a kind of psychology, psychology and life, the psychology of love, how to recognize a person's behavior, psychology and increase the power of the right words to praise her, psychology and exercise to reduce weight / thickness, psychology and the challenges of having a baby of the desired sex, how to eliminate the most damaging ideas, psychology and sex, the importance of sexual intercourse the night, the child's growth, the effects of anal sex. family and social life, positive psychology, success and self-control.
What is Psychology?
Saikilojia is derived from the English word (psychology) whose origin is the Greek word (psyche) which means soul or spirit.
Overall psychology is the science regarding the soul or spirit and how this soul (spirit) it works.
Similarly psychology explores the awareness of animal behavior especially humans.
With this knowledge of psychology can appreciate Flani sources for human behavior, it also gives power to its flaws and positive towards understanding it and how best to avoid them (flaws) or live with it without damage and how best to sustain the good he has.
Psychology experts always love to appreciate the breadth of human behavior through studies including requirements appreciate his motivation, his motivation, his emotions (the trend of his thoughts and his emotions).
This causes them to design a psychiatrist and counseling centers that makes (it enabled) human live happy and peaceful.
Psychology is the study ambali is inevitable in human life. Is true and it is clear that every human being is Only. This peculiarity sababiswa by two major factors that are NATURAL (Nature) and ENVIRONMENT (Nurture).
Due to these two factors, humans find ourselves differs from our nature to our character. (Even those who contributed one father and one mother).
This peculiarity has also been made that the diversity of feelings (emotions).
Considering the fact that humans are interdependent in order to live in peace and happiness and success, it is clear that due to the interdependence with the diversity we have.
Try to think, as human beings we all have the same characteristics, like what nature, related power, specially bestowed gifts like, feelings etc. gushing match. Who would trust the other? And kungewa and significance to be friends? Or what about the world?
So is understanding the psychology of education that enables us to help establish relationships and to continue to protect and help each other through various life partnership.
Also access to this knowledge of psychology is not something difficult as many people think they are.
Obtain this knowledge is not necessary to attend specialized training in the relevant college because our life for a large percentage set on this knowledge of psychology.
Many people have been negligent psychological theories in their daily lives without knowing it.
For example: it is too often people in their daily lives to establish relationships for different purposes. And some of them have been successfully established these relationships with many others unable kanzisha or even keeping.
The importance of education psychology
This is one of the aspects of psychology (social psychology) which is recommended every one had Partially.
Through education saikilojia you can know how best to live with a married partner or your sweetheart and even your friend (girlfriend).
Also for those who are destined to have children will know how best to raise their children with the basic services that the child is entitled in the relevant year.
For those with conflicts in their relationship or their marriage, this knowledge will give definite answers.
This knowledge also applies to officials of all levels from the family level to get nakuendelea ... because this knowledge will enable you to understand the people and it has led the work of the leadership that simple.
To conclude this psychology education has many purposes and many functions in human life.

More

What's New

Karibu saikolojia, ujifunze maana ya saikolojia, aina za saikolojia, saikolojia na maisha, saikolojia ya mapenzi, jinsi ya kutambua tabia ya mtu, saikolojia na kuongeza nguvu za kuume, maneno ya kumsifia mwanamke, saikolojia na mazoezi ya kupunguza uzito / unene, saikolojia na changamoto za kupata mtoto wa jinsia unayoitaka, jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza, saikolojia na kufanya mapenzi, umuhimu wa tendo la ndoa usiku, ukuaji wa mtoto, athari za ngono kinyume na maumbile.

Rate

- 10 people has rate it -

Rate it Thanks!